sw_tn/ezr/05/17.md

8 lines
361 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Barua kutoka kwa Tetai kwenda kwa mfalme ambayo inaanza katika 5:6 inaendelea. Tetai amemaliza kumwambia mfalme kile ambacho wayahudi wamemwambia yeye na sasa anamwuliza mfalme kuona kwamba kile wayahudi wamemwambia yeye ni kweli.
# ikiwa hukumu ya mfalme Koreshi iko pale
"ikiwa kuna kumbukumbu kule ambapo mfalme Koreshi alitoa amri"