sw_tn/ezr/05/12.md

12 lines
484 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Barua kutoka kwa Tetai kwenda kwa mfalme inaendelea. Tetai anaendelea kumwambia mfalme kile ambacho wayahudi walimwambia kuanzia katika 5:11
# kumchukiza Mungu wa mbinguni
"kumfanya Mungu wa mbinguni kuwa mkali kwetu sisi"
# aawatia katika mikono ya mfalme Nebukadineza wa Babeli, ambaye alivunja nyumba na kuwachukua watu
Mkono ni mfano wa nguvu au kuongoza. Pia, "kuruhusu Nebukadineza mfalme wa Babeli na jeshi lake kuvunja hii nyumba na kuwachukua watu"