sw_tn/ezr/05/11.md

591 B

Taarifa kwa ujumla

Barua kutoka kwa Tetai kwenda kwa mfalme ambaye alianza katika 5:6 inaendelea

Sisi tu watumishi wa mmoja

Maana yake inawezekana ikiwa 1)walikuwa wakiwaita wayahudi watu wa Mungu au 2) wale waliokuwa wakijibu walikuwa wakitokea kabila la Lawi na Haruni, ambao ndio walikuwa wakiwajibika hekaluni kwa kuabudu na kutoa sadaka.

ambalo lilikuwa limejengwa miaka mingi iliyopita wakati ambapo mfalme mkuuu wa Israeli alipoujenga na kukamilisha hilo.

Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:"ambapo mfalme mkuu wa Israeli aliujenga na kusambaza vifaa vyote kwa "