sw_tn/ezr/04/23.md

417 B

Amri ya mfalme Artashasta ilisomwa

Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. ambapo utakiwa kufanya utafiti nani alisoma amri kutoka kwa mfalme kwa maofisa. AT:"Wajumbe kutoka kwa mfalme Artashasta walisoma amri"

Rehumu

Tafsiri kama katika

Shimshai

Tafsiri kama katika

kazi ya nyumba ya Mungu ikasitishwa Yerusalem mpaka kutawala mara ya oili kwa mfalme Dario

Huu uchelewaji ulikoma takribani miaka 16