sw_tn/ezr/04/17.md

495 B

Mji ngambo ya mto

Hili ni jina la mji ambao ulikuwa magharibi ya mto Efrati. ilikuwa kuvuka mto kutoka mji wa Susa. Tafsiri kama katika 4:9

Barua mliyonitumia imetafsiriwa na kusomwa

Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai ambapo utatakiwa kufanya utafiti nani aliyetafsiri na kusoma barua kwa mfalme. AT:"Ninaye mtumishi kutafsiri na kusoma barua ambayo ulituma kwangu"

Rehumu

jina la mtu tafsiri kama katika 2:1

Shimshai

jina la mtu. Tafsiri kama katika 4:7

Mto

mto Efrati