sw_tn/ezr/03/12.md

276 B

nyumba ya kwanza

Hii inarejea hekalu la kwanza ambalo Selemani alijenga, nyumba ya Mungu.

mbele ya macho yao

Macho yanawakilisha kuona.AT:"katika kuona kwao" au "na walitazama"

kulia kwa sauti

Hii inaonyesha hisia ya uzuni ikiambatana na machozi na sauti ya kulia.