sw_tn/ezr/02/40.md

332 B

Taarifa kwa ujumla

Hii sehemu inaonyesha idadi ya majina ya Walawi ambao wanao walirudi kutoka mateka pamoja na idadi ya kila kikundi

Kadmiel...Hodavia...Shalumu...Talmoni,Akubu,Hatita, na Shobai

majina ya wanaume

Sabini na nne

nne "74"

walinzi

wale wahusika ambao huenda kupitia geti la Hekalu

Ateri

jina la mtu