sw_tn/ezk/48/10.md

214 B

Sadaka kwa ajili yao itakuwa fungu la hii nchi takatifu sana

"Hili fungu dogo ndani ya fungu takatifu la nchi litamilikiwa na hawa makuhani, fungu ambalo ni takatifu zaidi kuliko yote ya fungu takatifu la nchi"