sw_tn/ezk/47/13.md

304 B

Yusufu atakuwa na mafungu mawili

"uzao wa Yusufu utapokea maeneo mawili ya nchi."

kila mtu na ndugu miongoni mwenu

Hili neno linamaanisha "kila mtu apokee kiasi cha nchi sawa

nimeinua mkono wangu kuapa

Tazama jinsi ilivyo tafsiriwa katika sura ya 20:4.

katika njia moja

"hivyo, hasa, hii"