sw_tn/ezk/46/01.md

286 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa wana mfalme wa Israeli.

ua wa ndani

Tazama tafsiri yakekatika sura ya 8:16.

kuelekea mashariki

Tazama tafsiri yake katika sura ya 11:1.

lango la ndani

Tazama jinsi ilivyo tafsiriwa katika sura ya 40:17