sw_tn/ezk/44/25.md

219 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa nyumba ya Israeli kuhusu uzao wa Zadoki ambao ulitumika kama makuhani.

hili ni tangazo la Bwana Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.