sw_tn/ezk/44/04.md

389 B

Kisha aka

"Kisha yule mtu" au "Kisha Yahwe"

tazama

Neno "tazama" hapa inaonyesha kwamba Ezekieli alishangazwa kwa kile alichokiona.

neno la Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 3:12.

nikaanguka kifudi fudi

Tazama tafsiri yake katika sura ya 1:27.

weka moyo wako

Tazama tafsiri yake katika sura ya 40:3.

taratifu zake zote

"maelekezo yote kuhusu nyumba ya Yahwe"