sw_tn/ezk/43/12.md

16 lines
229 B
Markdown

# maelekezo
"kanuni"
# mipaka inayozunguka
Neno "mpaka" ni kama linarejea kwa ukuta ulioelekea moja kwa moja kuzunguka hekalu.
# takatifu sana
"takatifu hasa"
# Tazama!
Neno "Tazama" hapa linasisitiza kwa kile kifuatacho.