sw_tn/ezk/43/03.md

185 B

Lilikuwa kama

Neno "lili" inarejea kwa maono ya utukufu wa Mungu unaokuja kutoka mashariki.

wakati alipokuja kuiangamiza nchi

"wakati Mungu wa Israeli alipokuja kuuangamiza mji"