sw_tn/ezk/40/44.md

351 B

lango la ndani

Hili ni lango la ndani upande wa kaskazini.

vyumba vya waimbaji

"vyumba vya waimbaji"

Hiki chumba kilichoelekea kusini

Hili neno linamaanisha "Chumba chenye lango lake la kuingia kwa upande wa kusini."

nani yu katika zamu katika hekalu

"nani anafanya kazi katika hekalu" au "nani anawajibika kwa ajili ya kulinda hekalu"