sw_tn/ezk/40/03.md

499 B

akanipeleka huko

Yahwe akanileta hata mahali ambapo palipokuwa na majengo"

Tazama

Neno "tazama" hapa linaonyesha kwamba Ezekieli alishangazwa kwa kile alichokiona.

mshipi wa kitani

"ni kama iliyotengenezwa kwa kitani." Hiki ni kifaa kwa ajili ya kupimia umbali mrefu.

fimbo ya kupimia

Hiki ni kifaa kwa ajili ya kupimia umbali mfupi.

Mwanadamu

Tazama tafsiri yake katika sura ya 2:1.

elekeza moyo wako juu

"fikiri kuhusu."

nyumba ya Israeli

Tazama tafsiri yake katika 3:1