sw_tn/ezk/39/28.md

216 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kuhusu nyumba ya Israeli.

wakati nitakapomwaga Roho wangu juu ya nyumba ya Israeli

"wakati nitakapoijaza nyumba ya Israeli ujazo wa Roho wangu"