sw_tn/ezk/39/25.md

374 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kuhusu nyumba ya Israeli.

nitawarudisha watu wa Yakobo

Tazama tafsiri yake katika sura ya 16:53.

uhaini

"-sio aminifu"

nitajifunua mimi mwenyewe kuwa mtakatifu kwenye uso wa mataifa mengi

"mataifa mengi watajua kwamba mimi ni mtakatifu kwa sababu ya kile kilichofanyika kwa nyumba ya Israeli."