sw_tn/ezk/39/23.md

196 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe kuhusu Gogu.

naficha uso wangu

"niliacha kuwalinda na kuwajali."

anguka kwa upanga

Tazama tafsiri yake katika sura ya 32:22.