# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kuhusu Gogu.
# kupitia nchi
"kupitia nchi ya Israeli"
# Hamoni
Hili ni jina la "Jeshi Kubwa."