sw_tn/ezk/39/12.md

236 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kuhusu Gogu.

mwezi wa saba

"mweza wa 7"

kuwazika

"kuwazika watu wa jeshi la gogu"

hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.