sw_tn/ezk/39/11.md

422 B

Maelezo ya Jumala:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kuhusu Gogu.

itakuwa ... kwamba

tukio la mihimu litafanywa.

magharibi mwa bahari

matoleo ya kisasa yanatafsiri maelezo ya Kiebrania hapa kama "upande wa magharibi kuelekea bahari."

Itazuia

"jefu lililokufa litazuia"

Huko wata

"Huko nyumba ya Israeli"

Watapaita

"Watu watapaita"

bonde la Hamon-Gogu

"Bonde la Jeshi Kubwa la Gogu"