sw_tn/ezk/37/26.md

671 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anazungumzia kuhusu watu wa israeli.

Nitaanzisha agano

"nitaweka"

agano la amani

Tazama tafsiri yake katika sura ya 34:25.

nitayaimarisha

Inaonyesha kwamba Yahwe wangeweza kuwaimarisha katika nchi ya Israeli.

zidisha

Tazama tafsiri yake katika sura ya 36:10

mahali pangu patakatifu

"patakatifu pangu" au "hekalu langu"

makao yangu

"mahali ambapo ninaposhi"

nitakuwa Mungu wao, na wao watakuwa watu wangu

Tazama tafsiri yake katika sura ya 11:19.

watajua yakuwa mimi ndimi Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 6:6.

mahali pangu patakatifu

"patakatifu pangu" au "hekalu langu"

kati yao

"miongoni mwao"