sw_tn/ezk/37/04.md

573 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe ananena na Ezekieli.

Sikiliza neno la Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 13:1.

Tazama

"Ona" au "Sikia"

mishipa

sehemu ya miili ya mwanadamu ambayo ni kama gidamu ngumu na hushikkamana na mifupa na misuli pamoja

weka pumzi miongoni

Hapa "pumzi" inarejea kwa kupumua. "nitakufanya kupumua"

pumzi

Neno la Kiebrania limetafsiriwa kama "pumzi" katika mstari huu limetafsiriwa kama "roho" pia limetafsiriwa katika matoleo mengine machache kama "upepo"

mtajua kwamba mimi ndimi Yahwe

Tazama tafsiri yakekatika sura ya 6:6.