sw_tn/ezk/37/01.md

364 B

Maelezo ya Jumla:

Ezekieli ananena

Mkono wa Yahwe ulikuwa juu yangu

Tazama tafsiri yake katika sura ya 1:1, "mkono wa Yahwe ukaja juu yangu."

katikati

"katikati"

kuzunguka pote

"katika kila mahali"

Tazama!

Neno "Tazama" hapa linatutahadharisha kuwa makini kwa habari zifuatazo za kushangaza.

mwandamu

Tazama tafsiri yake katika sura ya 2:1.