sw_tn/ezk/34/04.md

760 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa viongozi wa Israeli

wenye maradhi

"wanaumwa" au "wako dhaifu"

funga

"Hamuwafungi kuzungusha nguo vidonda na mifupa iliyovunjika"

wale waliovunjika

"kondoo waliovunjika mifupa" au "kondoo aliyeumia"

hamuwarudishi

"hamuwarudishi"

waliofukuzwa

"kondoo aliyekuwa amefunkuzwa" au "kondoo dhaifu amefukuzwa na kondoo shupavu"

aliyepotea

"kondoo au mbuzi aliyepotea"

kwa nguvu na vurugu

"kwa kulazimisha na kikatili"

bila mchungaju

"kwa sababu hawana mchungaji."

wakawa chakula kwa wanyama wote waishio katika mashamba

"wanyama wote wa porini waliwashambulia na kuwala"

limetawanyika juu ya uso wote wa dunia

"kundi langu limetwanyika juu ya dunia nzima"