sw_tn/ezk/33/23.md

247 B

neno la Yahwe likaja

Yahwe akanena neno lake."

wale waishio mahali palipoharibika

"wale walio iharibu miji"

nchi

"nchi ya Israeli"

Tumepatiwa nchi

"Yahwe ametupatia nchi."

kama wamiliki

"ili tuweze kuimiliki" au "kama warithi."