sw_tn/ezk/33/17.md

462 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Waisraeli.

watu wako

Hawa ni watu wa Israeli. Neno "wako" linamrejea Ezekieli.

lakini i kwenye njia zako

Neno "yako" linawarejea wana wa Israeli. "lakini ni njia zenu."

kufa katika hiyo

"kufa kwa sababu ya dhambi"

geuka kutoka uovu wake

"acha kufanya mambo maovu"

kwa sababu ya hayo mambo

"kwa sababu hufanya kilicho haki na haki"

enyi watu

Hawa ni watu wa Israeli.