sw_tn/ezk/33/10.md

829 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Wasraeli.

nyumba ya Israeli

Tazama jinsi ilivyo tafsiriwa katika sura ya 3:1.

Mnasema hivi

"Hivi ndivyo ulivyosema"

Makosa yetu na dhambi zetu

wanajisikia haitia kwa makosa yao na dhambi

na tunadhoofika kwa ajili yao

Hili neno linalinganisha jinsi dhambi inavyo muharibu mtu.

kati yao

Hii inamaanisha watu wanajua Mungu hatawasamehe.

Nitaishije?

Watu huuliza hili swali kusisitiza kwamba hawana tumaini la kuishi.

Kama niishivyo

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.

hili ndilo tangazo la Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.

kama mwovu akitubu kutoka njia yake?

"kama mtu muovu akiacha kufanya mambo mabaya"

kwa nini mnataka kufa

Yahwe anatumia hili swali kusisitiza kwamba hataki watu wa Israeli kufa.