sw_tn/ezk/31/16.md

701 B

Maelezo ya Jumla:

fumbo la Yahwe kuhusu mkangazi linaendelea

wakati nitakapo mtupa chini hata Sheoli

"wakati nitakapomtupa chini hata Sheoli. "Hili neno linamaanisha, "wakati nitakapouua mkangazi."

pamoja na wote walioenda chini kwenye shimo

"pamoja na kila mmoja aliyekuwa amekufa na kwenda kwenye nchi"

sehemu za chini kabisa za nchi

"zilikuwa zimeenda chini tayari kwenda chini ya aridhi"

imechaguliwa na miti iliyokuwa bora ya Lenanoni; miti iliyokunywa maji.

"miti bora ambayo kila mmoja atataka, miti ambayo ina maji mengi" "Hii ni miti ya Edeni ambayo ilikuwa katika sehemu ya mwisho ya ardhi.

chaguliwa

"Hiki ni kitu ambacho kila mtu atakitaka kwa sababu ni chema sana.