sw_tn/ezk/31/12.md

370 B

Maelezo ya Jumla:

Fumbo la Yahwe kuhusu mkangazi linaendelea.

waliokuwa wakiogofya mataifa yote

"walio wafanya mataifa yote kuogopa"

kuukatilia mbali

"kuukatilia mkangazi chini"

matawi yake yameanguka

"wageni walivunja matawi ya mkangazi"

matawi

Ni matawi marefu yameayo kwenye miti.

wakatoka nje kutoka chini ya kivuli

"acha kivuli cha mkangazi"