sw_tn/ezk/30/10.md

32 lines
774 B
Markdown

# Bwana Yahwe asema hivi
Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:5.
# Nitaufanya mwisho wa watu wa Misri
"nitafanya hivyo ili Misri isiwe na watu wengi."
# kwa mkono wa Nebukadreza
Nebukadreza atakuwa yule ambaye aletaye hii hukumu.
# Yeye pamoja na jeshi lake ... italetwa kuiharibu nchi
"nitamleta Nebukadreza na jeshi lake ... kuingamiza nchi"
# Yeye pamoja na jeshi lake, hofu ya mataifa
Yahwe anamuita Nebukadrea "hofu ya mataifa" kwa sababu mataifa yote yana hofu kubwa ya jeshi lake.
# kuiangamiza nchi
"hivyo wataiangamiza nchi." Yahwe atamleta Nebukadreza na watu wake ili waiangamize nchi.
# watafuta panga zao juu ya Misri
"pigana juu ya Misri"
# jaza nchi kwa maiti za watu
Hii ni kutia chumvi kuonyesha kwamba Wababeli watawaua Wamisri wengi sana.