sw_tn/ezk/29/15.md

298 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Farao.

Wamisri hawatakuwa sababu kwa ajili ya imani kwa ajili ya nyumba ya Israeli

"Taifa la Israeli halitaaminika kwa Wamisri"

walipogeukia Misri kwa ajili ya msaada

"Popote walipoenda hata Misri kwa ajili ya msaada"