sw_tn/ezk/29/04.md

291 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Faro, akimlinganisha na dubwana katika maji.

ndoana

vipande vikali au ubao ambao watu hutumia kukamatia samaki na wanya wengine katika maji

maganda

vipande vigumu vilivyo juu ya samaki, mambo na wanyama wengine