sw_tn/ezk/29/01.md

546 B

Katika mwaka wa kumi

"Katika mwaka uhamisho wa Mfalme Yehoyakini"

katika mwezi wa kumi katika siku ya kumi na mbili ya mwezi

"katika siku ya kumi na mbili ya mwezi wa kumi." Huu ni mwezi wa kumi wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kumi na mbili iliyo karibu na Mwezi wa kwanza katika kaelenda za Magharibi.

neno la Yahwe likaja

"Yahwe akanena neno lake." Tazama tafsiri yake katika 1:1.

joka kubwa

"dubwana kubwa liishilo katika maji." Yahwe anaanza kumlinganisha Farao na dubwana liishilo katika maji. Dubwana linafanana kama mambo.