sw_tn/ezk/24/15.md

24 lines
814 B
Markdown

# neno la Yahwe likaja
"Yahwe akanena neno lake."
# tamaa ya macho yako
Hii inarejea kwa mke wa Ezekieli. Yahwe anarejea kwa Ezekieli kwa sehemu ya mwili wake anatumi kumuona mke wake.
# lakini hutakiwi kuomboleza wala kulia, na machozi yako hayatatoka
Haya maneno kimsingi yanamaanisha kitu kimoja na kusisitiza kwamba Ezekieli hatakiwi kumlilia mke wake anapokufa. "hutakiwi kuonyesha huzuni yako"
# kilemba
kitambaa kirufu kilichotengezwa kwa ajili ya kufunga kwa kuzunguka kichwa.
# makubadhi
viatu rahisi vinavyo valiwa kwenye miguu.
# akini usivalishe shela nywele zako
Katika Israeli, wanaume walinyoa ndevu zao kuonyesha huzuni, kisha kufunika nyuso zao hata kwenye nywele zao. Yahwe alimwambia Ezekieli asiufunike nywele zake za mbele kuonyesha kwamba hakuwa amenyoa uso wake kuonyesha huzuni.