sw_tn/ezk/24/09.md

378 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kuilinganisha Yerusalemu na chungu kinachipikwa.

pia niataongeza chungu cha kuni

Inaonyesha kwamba nguzo ya mbao i chini ya chungu kunachopikwa, ambacho kinaiwakilisha Yerusalemu.

weka ... washa ... pika ... acha mifupa iteketee

Yahwe anato amri hii kufikirika watu ambao ni sehemu ya mfano.

acha mifupa iteketee

"choma mifupa"