sw_tn/ezk/24/07.md

306 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa watu wa Yerusalemu.

yeye

Neno "yeye" linarejea kwa Yerusalemu, ambayo inawakilishwa na chungu kinachopikwa.

imeiweka juu ya jiwe laini

"ameweka damu juu ya mawe yaliyofunuliwa"

kuifunika kwa vumbi

"na kuifunika kwa vumbi"