sw_tn/ezk/24/01.md

498 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe ananena na Ezekieli.

Neno la Yahwe likanijia

"Yahwe akanena neno lake."

katika mwaka wa tisa

"katika mwaka wa tisa wa uhamisho wa Mfalme Yehoyakini"

mweziwa kumi, na katika siku ya kumi ya mwezi

"siku ya kumi ya mwazi wa kumi." Huu ni mwezi wa kumi wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kumi ni karibu na mwanzoni mwa mwezi wa kwanza katika kalenda za Magharibi.

mfalme wa Babeli ameizingira Yerusalimu

Jeshi la Babeli linarejewa kwa sababu ya kiongozi wake.