# Tazama
"Ona" au "Sikiliza" au "Kuwa makini kwa kile ninachotaka kukuambia."
# Pekodi, Shoa, na Koa
Haya ni makundi ya watu waliooshi Babeli.