sw_tn/ezk/23/11.md

16 lines
421 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe akaanza kumweleza Ezekieli kuhusu uzinifu wa mke wake Oholiba, dada yake na Ohola.
# Oholiba
Hili ni jina la kike linalomaanisha "hima yake yu katikati yake."
# waliokuwa wamevaa ngua za ushawishi, walikuwa watu waendesha farasi
Maneno haya yote yanaelezea watu ambao ni matajiri. "waliokuwa matajiri"
# Ilikuwa kama kwa dada wote
"Dada wote wakawa najisi kupitia matendo yao ya ukahaba"