sw_tn/ezk/21/28.md

213 B

mwana wa adamu

Tazama tafsiri yake katika 2:1.

umetolewa

"umtolewa nje ya ala yake"

Wakati manabii waonapo maono kwa ajili yako

Neno "wew" inarejea kwa taifa la Amoni.

maono matupu

"maono ya uongo"