sw_tn/ezk/21/10.md

1.2 KiB

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa watu wa Yerusalemu na wa nchi ya Israeli.

Utanolewa ... utang'arishwa ili

"nitaunoa ... nitaunoa ili kwamba uta"

ili uwe kama mng'ao wa radi

Hii inamaanisha kwamba utang'aa sana huo mwanga utaakisi na kung'aa. "Hivyo utawaka kama nuru"

Je! Tufanye furaha katika fimbo ya mwana wa mfalme?

Hili swali lisilohitaji majibu linasisitiza kwamba watu wa Israeli hawatasheherekea uwezo wa ufalme wao, kwa sababu hautaweza kuupitisha "upanga."

Tuta

Neno "sisi" linamrejea Ezekieli na watu wa Israeli.

katika mwana wangu wa kifalme

Hapa Yahwe anarejea kwa mfalme wa Yuda kama mwana wake. Fimbo ya mfalme inawakilisha utawala wake kama mfalme.

Upanga ujao huchukia kila hiyo fimbo

Hapa neno "upanga" Hii inazungumzia mfalme kutoweza kuupitisha "upanga" kama "upanga" unauichukia fimbo ya mfalme.

hiyo fimbo

Hili neno limetumika kuidhihaki fimbo ya mfalme kwa kuiita "fimbo." "hiyo fimbo"

upanga utatolewa kung'arishwa

"nitaung'arisha upanga"

kisha kushikika kwa mkono

"kisha mtu sahihi ataushika katika mkono wake"

utatolewa kwenye mkono wa yule auaye

"u tayari kwa ajili ya matumiziya kuua"