sw_tn/ezk/20/40.md

729 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa nyumba ya Israeli.

kutaka

"kulazimu kuleta"

malimbuko ya kodi zenu

Hapa "malimbuko" huenda inamaanisha vitu bora miongoni mwa sadaka zote zilizowekwa pembeni kutoa kwa Mungu.

vitu vyako vitakatifu

"sadaka ulizoziweka pembeni kunitolea"

nitakapowatoa kutoka wale watu na kuwakusanya toka nchi ambazo mlizotawanyika

Haya maneno mawili yanamaanisha kitu kimoja na kusisitiza kwamba Yahwe atawarudisha watu wake kutoka mataifa yote ambayo aliyokuwa amewatawanya.

mlikuwa mmetawanyika

"nimewatawanya."

Nitajifunua mimi mwenyewe kama mtakatifu ndani yenu kwa ajili ya mataifa waone

"nitakutumia kuonyesha mataifa kwamba mimi ni mtakatifu"