sw_tn/ezk/19/05.md

420 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaenedela kuelezea taifa la Israeli kama simba jike na wafalme wa ufalme wa Yuda kama wanasimba wake.

hivyo alimchukua mwingine miongoni mwa watoto wake

Sasa Yahwe anamlinganisha Yehoyakini na mwana simba mdogo.

Akawakamata wajane na kuiharibu miji

Haya maelezo ni mfano kwa ajili ya Mungu akiruhusu maadui wa Israeli kuyafanya haya mambo.

na viijazvyo

"na kila kitu katika huo"