sw_tn/ezk/18/31.md

248 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na watu wa Israeli.

jifanieni moyo mpya na roho mpya

"kujibadilisha kabisa ulivyo"

nyumba ya Israeli

Tazama tafsiri yake katika 3:1.

hili ni tangazo la Yahwe

Tazama tafsiri yake katika 5:11.