sw_tn/ezk/18/24.md

371 B

Maelezo ya Jumla:

Yehova anatoa mfano wa mtu anayegeuka kutoka katika haki na kuugeukia uovu.

je ataishi?

"atakufa tu"

hatazingatiwa akilini

"hatakumbukwa"

Uhaini

kosa ambalo mtu hutenda dhidi ya nchi au dhidi ya Mungu kwa lengo la kusaliti na kujitwalia heshima.

hivyo atakufa katika dhambi anaoutenda

"Hivyo, atakufa kwa ajili yadhambi alizozitenda"