sw_tn/ezk/18/12.md

16 lines
488 B
Markdown

# Taarifa za Ujumla:
Yehova anaendelea kuzungumza juu ya mwana mkorofi
# maskini na wahitaji
Maneno "Maskini" na "muhitaji" yasisitiza kuwa hawa ni watu wasioweza kujisaidia wenyewe.
# kutoza riba
Neno "riba" linamaanisha fedha ya nyongeza inayolenga faida juu ya deni.
# riba
Neno hili linamaanisha pesa inayolipwa na mtu ili atumie pesa ya mkopo. Hata hivyo baadhi ya tafsiri za leo za neno hilo hutaja kama "riba yoyote" katika kifungu hiki cha maandiko kama "riba kubwa sana"