sw_tn/ezk/18/05.md

298 B

Hajakula juu ya milima...hajainua macho yake kuzielekea sanamu

Vifungu hivi vya maneno vinarejea katika ibada ya sanamu. watu walikula chakula ch amatambiko katika vichaka vya mmlima kuzitukuza sanamu. Kifungu cha maneno "kuinua macho yake" ni rejea ya tukio la kuzitazama sanamu na kuzitukuza.