sw_tn/ezk/17/17.md

467 B

Taarifa ya Ujumla:

Yehova anzungumza juu ya mfalme wa Yerusalemu.

Jeshi kubwa na kusanyiko la wengi kwa ajili ya vita.

Vifungu hivi vya maneno kimsingi vina maana sawa na vinasisitiza ni kwa namna gani jeshi la Farao ni kubwa na lenye nguvu.

Hawatamlinda

Hapa neno "hawatamlinda "linarejea kwa mfalme wa Yuda.

Kuta zenye minara

Hii ina maana ya mnara wa wenye ngazi zinazoweza kuwekwa ukutani na kuruhusu wanajeshi kuruka ukuta na kuingia katika mji.